Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Rasta zinavyoweza kubadilisha muonekano kwa watoto

Sio lazima kila wakati watoto wetu tuwasuke vidole vya maputo au kuwavisha vikofia vilivyosukwa kwa uzi. Mtoto pia anaweza kusukwa rasta simple kabisaa na akapendeza vizuri. Kina mama hata kina baba pia tuwapendezeshe watoto wetu kwa namna tofauti

2.jpg
  
WAT2.jpg
  
WAT5.jpg

Post a Comment

0 Comments