Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Haya ndiyo ya kufanya kama una uso wenye mafuta




Natumai wote ni bukheri wa afya mimi pia nipo okay kuna mdau kwenye post moja kauliza atumie nini,ana uso wenye Mafuta mengi oily face mimi pia nina tatizo kama Hilo.

Lakini now sio tatizo tena najua kuhudumia ngozi yangu daily iwe healthy au mnataka na kapicha ka ushaidi mimi ni mmoja ya wanaume ambao walikua wanaamini kupaka mafuta ni mambo ya kike but miaka mitatu ya nyuma nikaona too much mda wote uso una mafuta,kujifuta kila dakika nikafanya research now kama wewe una tatizo kama langu tumia njia hizi.

1: Mafuta ya Nazi.
mafuta ya nazi ndio mchawi,unaweza ukashangaa why mafuta ya nazi unahisi kama utazidisha tatizo hapana mafuta ya nazi yanakinga ngozi na bacteria,mwanga wa jua pia yapo thick ukipaka uso mda wote unakua dry..extra virgin coconut oil ndio mazuri zaidi ni yale yasiyochanganywa na kitu chochote..

2:Usijishike shike uso
mafuta mengi yanatoka sababu nyingine ni kua na ngozi iliyokufa,ukiwa una shika shika uso,unapeleka uchafu ,bacteria usoni, kama unahisi mafuta yamezidibusijishike tumia cleanser paper tena jifute utosini,kwenye pua ,na kidevunibplease usijishike uso u want stay dry and nice do as i say.

3: Nawa uso mara mbili kwa siku hili swala niliambiwa na daktari wa ngozi,kua kama utanawa mara kwa mara ukidhani unaondoa mafuta,ndio unazidisha coz mwili Wako asili yake mafuta,mda wote ukiyatoa,yanarudi kwa Kasi..

4:drink alot of water and fanya mazoezi..

ili temperature kwenye mwili iwe balanced na kuondoa uchafu,dying skin watu watakushangaa.


MATOKEO: Nina miaka miwili nafanya hivyo,ukiniona uso kama msanii mwenye mafanikio haha kidding uso kama mtoto so soft,sina kipele cha joto,uso hauna tena mafuta wewe mwenyewe ukikutana na mimi utashangaa like daaamn man your skin inspired cocoa butter.

NOTE:Afya ya ngozi ni jambo bora kama unavyolinda mambo mengine my excuses me wanaume wa Dar na hili jukwaa la urembo&Utanashati.

Post a Comment

0 Comments