Header Ads Widget

Responsive Advertisement

MWANAMKE ANAACHIWA MISS CALL 2 TU NA KAMA NI MESEJI NI MOJA!

Hakuna wanawake ambao ni rahisi kuwatongoza kama wale wanawake ambao wanaume zao wana wivu wanafuatilia mpaka vivuli. Ukikutana naye basi ukaona namna mwanaume anavyojitutumua kumchunga, basi wewe kazi yako inakua nyepesi.
“Hivi una matatizo gani, kwanini yule fala anakuhangaisha hivyo, mtoto mzuri namna hiyo una macho ya X-mass unasumbuliwa na mtu wa namna ile, hivi unapumuaga kweli kila saa anakuchgunga namna ile… Daa wanawake mna shida…”
Halafu unanyamaza zako, unamuangalia tu kwakua hicho kisirani cha kutwa mara tatu kupigiwa simu kama mtoto mdogo kinamkera basi atajichekesha kidogo au atajifanya kununa kisah atamtetea mtu wake.
“Ananipenda ndiyo maana ananichunga…”
“Wewe mbuzi, inamaana anakuona huna akili aisee wanawake mnavumilia sana. Mtoto mzuri hivi sura imekaa utamu kama Rojo la Biriani unahangaika na mtu ambaye anakuogopa hivi unafurahia chochote kweli, mbona kama hakuachi upumue….”
Acheni ufala jifunzeni kutongoza mnataka niandike kila kitu. Nilichotaka kusema hapa nikuwa, mwanamke ukimchunga sana basi ni rahisi kuibiwa, anakuchoka mapema. Mwanaume hutakiwi kuacha miss call tatu kwa mwanamke wako. Mwanaume ukijiona unaacha miss call tatu, umepiga mara ya kwanza hajapoke, ya pili hajapokea ukapiga na yatatu, ikafuata na mesei unalalamika kuwa anakusaliti bais jua kuwa unaboa, unamchosha unamtia kinyaa.
Huyo mwanamke akikutana na fala kama mimi, akapata mtongozo mmoja wa uongo uongo basi anaingia laini hata kama anakupenda. Mwanaume unatakiw akuahca miss call mbili tu kwa mwanamke wako, miss call ya kwanza ni ile kwamba simu ilikua mbali, ya pili ndiyo yenyewe, asipopokea kaa hata miaka miwili usitume mesei wala kupiga.
Na akija kukupigi acha kuuliza. Eti ulikua wpaui, ulikua na mwanaume mwingine, ulikua unafanya umalaya wako! Hivi hata kama ni kweli unafikiri atakuambia ndiyo. Hapana, ukishamuachia miss call mbili muache mtoto wakike ajielezee. Masalimia kama hujawahi mpigia akaacha kupokea simu yako, yaani yeye ndiyo asema simu ilikua sehemu flani sijui wapi na wapi, muambie “Poa baby nilitaka tu kukusalimia.
Nilikua napita tu sehemu hapa wakawa wanauza sijui nini kile unapenda nikapata nyeg* za ghafla nikaamua nikucheki, mambo vipi lakini!” Yaani ahachanganyikiwa, unamuonyesha upendo lakini humng’ang’anii yaani asijielewe awe anawaza kuwa unampenda lakini unaweza kuishi bila yeye akikuzingua unaweza kumuacha. Meseji unatuma moja tu, asipojibu tena ukaona kaisoma basi kaa hata mwaka usimtafute akutafute, usishobokeshoboke, hata kama ni mke kama mko vi8zuri hamna shida ila kama anakuchezea chezea anapima sukari yako ndugu yangu ni miss call mbili meseji moja imaisha!

Post a Comment

0 Comments