Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Wanaume leo usiku tegea mke wako amelala kisha mtazame usoni mwake ?

Image result for somali sexiest beautiful girl


Tazama alivyofumba macho yake
Kumbuka mjinga wewe huyo mwanamke alikuja kwako alikuwa hajapauka kama unavyomwona.
Kumbuka mjinga wewe huyo mwanamke alikuja kwako hata chuchu hazijalala wewe kwa urafi wako umezinyonya na kiumbe cha damu yako kimepata chakula hapo.
Kumbuka mjinga wewe huyo mwanamke alikuja kwako sio kwamba alikuwa kwao hali, havai, haongi, hasuki.
Kumbuka mjinga wewe huyo mwanamke alikuja kwako hajakonda kama hivi mbavu zinaonekana wakati mwingine nguo zinamtela chini.

Kwako unasema cha nini wenzako wanasema lini watakipata mwanamke huyo kuja kwako ilikuwa ni upendo tu, anachotaka kwako ni upendo na sio vipesa vyako vya nyanya una hela gani sasa.

Huna mdaa wa kusikiliza kinacho msibu wewe kila dakika ni simu na wewe hadi choo wewe na simu huyo alitoka kwao sio kuja kuongea na masufuria na mabakuri hata kwao vilikuwepo vyombo ya udongo na mbao.

Mke huyo anapungukiwa nini ?
Hivi huyo mwanamke ukiniazima Mimi hata mwezi mmoja unadhani utajua ndio huyu iliyemzalisha na kumwona hana maana ununamwachia matumizi sh.3000/- kulisha damu yako tena mtoto wako dagaa chukuchuku wewe na mahawala unakula chips kwa kuku Mjinga wewe rudi kwa mkeo.

Mjinga wewe love mke wako♥
Katika maisha tunategemeana hao wa nje hautakuja kujenga nao mafanikio ya kimaisha kama huyu mwanamke uliyenaye sahivi.

Kama upo tayari kutubu dhambi zako na utampenda mkeo sema " Nakupenda Mke wangu."

Post a Comment

0 Comments