Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Dreadlocks!



Dreadlocks, ni aina ya nywele ambayo ina historia kubwa kwa mwanadamu kabla ya style yoyote ya nywele, ni style inayotumika kiimani mfano imani ya Uhindi (Saddhus), Some of Tibetian Buddhists (Ngagpas of Tibet), Uyahudi (Nazarines peoples from Number:6), Hamitic people of North Africa, Watakatifu wa Ethiopia na Oromos wa Ethiopia, Wasemitic, Wamisri wa zamani, Watakatifu wa Spartan wa ugiriki, na Kwenye uislam kuna wasufi wanaitwa Qalandariala (They have natural dreadlocks) na Rastafarians (katika sects zote za Orthodox, Twelve tribes of Judah, Bobo Shanti na Spirituals). Pia kuachana na Imani imekuwa ni style kuonyesha jinsi unavyoheshimu your natural hair (Kwa Non-Africans and Africans.

Ushahidi wa kiakiolojia wa kale unaonyesha haina hii ya nywele kiimani imeanza kutumika miaka kati ya 5000BC - 4500BC na inasignificance kubwa sana katika imani nyingi.

Kwa miaka ya sasa watu wamesahau heshima yake, ila wapo watu ambao wanapenda dreadlocks na wanazo, wanazitunza na kuzijali bila matatizo yoyote na wakiendelea kufanya shughuli zao za kimaendeleo (Sizungumzii wahuni wa mitaani). Pia wapo wengine wanazo kwa sababu ya Imani na wengine kwa sababu ya fashion.

I decided to start this topic, for people who loves Dreads and being Natural, so we can share amazing pics from this style.

NB: Sio kila mwenye Dreads ni muhuni, Uhuni ni tabia ya mtu na sio nywele. You can still wear your Dreads na ukaendelea kuwa na heshima yako na kuheshimiwa.


Feel free to share any Dreadlocks' pictures if you have.

















































Post a Comment

0 Comments