Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Nguo za kiume za siku hizi zina viashiria vya ushoga



Nimekua nikipata shida sana kupata nguo nzuri za kiume madukani, kwani miaka ya hivi karibuni nguo nyingi zilizopo madukani zinazosemekanana ni za kiume zina muonekano wa nguo za kike.

Kwa mfano jeans zilizopo madukani kwa asilimia 90 ni za kishoga, ni nyembamba, zinabana matako, chini zinabana miguu eti wanasema kamatia chini.

Ukija kwenye Tshirts ndio kabisa zinabana mwili na ziko juu juu kama top za kike, mashirt nayo hali kadhalika eti wanaita modal ila nimekuja kujua asilimia kubwa ya designer wa nguo a kiume ni mashoga na wanaweka trend zao na watu wanavaa wengine kwa kujua na wengine kwa kuto kujua.

Suit zinazoshonwa siku hizi Tanzania suruali unakuta fupi au suit na pensi, ili tu ionekane kike ndio fashion.

Nadhani tunakoelekea sisi wazee wa busara tutakosa nguo kabisa huko madukani huu ni mfano tu wa nguo hizo.

Kama una picha za nguo hizo weka hapa wadau waziepuke kwani ndio tunafundisha watoto wetu kwa muonekano wetu.



Post a Comment

0 Comments