Header Ads Widget

Responsive Advertisement

JICHO LILIPONZA SIKIO NA SIKIO LIKAPONZA JICHO



“Oya changamka wewe unakodoa kodoa mijicho utafikili mjusi kabanwa na mlango,kama vipi sogea tupite.”
“Mnambembeleza kwa nini watu tumechelewa na yeye bado anatuchelewesha msukume akae pembeni .”Mtu mwingine aliitikia.
“Aha watu kama hawa ni kuwapofua macho tu ili wasione maana kama hivi macho ndiyo yamemsababishia kuwa hivi,kaka kama vipi sogea pembeni we uendelee kukodoa mimacho yako.”Mwanamke mmoja nae akadakia .
“Aha yaani bado mnambembeleza msukumeni huko , itatuacha jamani.”Aliongea mwanaume alieonekana na mwili mkubwa ulio wa mazoezi nadhani kama sijakosea ni mwanajeshi.Kufumba na kufumbua nilijikuta nimebebwa juu juu na kurudishwa nyuma na kutupwa pembezoni mwa geti la kuingilia.Watu waliokuwepo eneo hilo na hata wale waliokuwa katika foleni hiyo walibaki wakishangaa na kujiuliza nimefanya nini huko mbele ya foleni na kuletwa nyuma na kutupwa hapo .Watu wasio na aibu wakaanza kunicheka kwani kwa jinsi walivyoniona nimevaa na kitendo nilichotendewa hakika kilikuwa kinachekesha kwani hata mimi baadae nilipokaa na kutulia na kukumbuka tukio lile nilijikuta nacheka peke yangu.Uhuru alikuwa akimsimulia Gwamaka.
“Kwani ni nini kilisababisha hivyo na ilikuwa wapi.”Aliuliza Gwamaka.
“Acha wewe,acha kabisa ni balaa kaka.”
“Sasa si uniambie,kama ni balaa kwanini umenidokezaa?”
“Haya husikasilike kaka ni hivi.ilikuwa majira ya saa kumi na mbili alasiri huku mvua za masika nazo zikinyesha na muda huo ilikuwa imenyesha kama dakika kumi zimepita na manyunyu kwa mbali yalikuwa yakidondoka hivyo siku hiyo ya jumatano kulikuwa na foleni ndefu mno hapo maeneo ya Kivukoni tukielekea kukata tiketi ili tuingie ndani ya jengo la kusubiria kivuko na kisha ndio turuhusiwe kuingia ndani ya kivuko ituvushe kuelekea kigamboni.Siku hiyo gari yangu niliiacha kwa fundi kulekule maeneo ya kigamboni hivyo nilikwenda kazini kwa miguu.Watu walikuwa ni wengi kwani mvua ilisababisha msururu wa magari na wa watu wanaotaka kuwahi majumbani mwao ili kukwepa mvua .Nikiwa ni mmoja wapo wa watu waliopanga foleni tukikalibia kabisa kibanda cha kukatia tiketi ghafla upande wa pili wa barabara ambayo abiria walioletwa na kivuko wanapita, niliona kitu kilichonifanya nishituke na kukikazia macho na kushindwa kutembea.Nilimuona mwanamke mmoja mrembo sana na mzuri akipita katikati ya kundi la watu waliokuwa wanatembea haraka haraka kuwahi mabasi kituo cha daladala.
Mwanamke huyo aliufanya moyo wangu ulie paa na kunipumbaza akili na kujikuta sijielewi.Alikuwa ni mzuri nadhani nikisema ni mzuri unanielewa ,sasa katika uzuri wake pia kuna urembo nikimaanisha ni mrembo wa haja zote kubwa na ndogo yaani ni mweupe wa asili,mrefu kiasi, umbo namba nane, miguu ya chupaya bia,milima miwili ya nyuma size ya kati na kifuani vifuu vyake ni vile vidogo vya duara .Akili haikuwepo tena eneo hilo ,ilipaa kwenda mbali sana pamoja na hisia .Nilijihisi nipo chumbani na huyo mwanamke tukiwa tunafanya ngono hakika nilihisi raha za ajabu kutokana na mautamu pamoja na mautundu aliyokuwa ananifanyia nami sikuwa nyuma nilionyesha mautundu yangu kiasi kwamba hata yeye alikili kuwa mimi ni kiboko.Aha maskini mimi kumbe nilikuwa naota, ndoto ya mchana tena macho yakiwa wazi kabisa na nimesimama katika foleni.Kitu ambacho sikukijua kama nakitenda nilikuwa nimefungua zipu yangu na kumtoa mheshimiwa aliyenifanya nipewe jina la kiume na wazazi wangu na kuanza kujisugua kwa mkono na kujikuta nimeshusha mzigo hadharani .Aha lilikuwa ni tendo la aibu sana .Ndipo watu waliokuwa nyuma yangu wakashangaa kwa nini sisogei mbele kwenda kukata tiketi na wakaanza kunilalamikia na kunikashifu wengine wakadai mimi ni kiziwi hivyo siwasikii wanachoongea na mmoja wao alinifuata nilipo ndipo akanikuta najisugua wazi wazi alishangaa sana na kuanza kupiga kelele.
“Aha pumbavu kabisa huyu yaani anapiga punyeto hadharani namna hii jamani .njoeni muone>”Alilalama huyo mtu na muda huo na mimi ndio nipo kwenye hisia kali za mwisho mwisho wa kufunga goli jasho likinitoka,mwii ukitetemeka na nikitoa miguno bila ya kujitambua.Watu wakanifuata na kunishangaa ,nilisikia kitu kizito kimetua shavuni mwangu na hapo ndipo niliporejewa na fahamu na kuona watu wakinishangaa kumbe nilipigwa ngumi na mwanaume mmoja wao.
“Mjinga wewe yaani unatudhalilisha sisi wanaume wenzio ,yaani unafanya mambo ya faragha waziwazi bila ya aibu!”Alilalamika mamaa mmoja mtu mzima.
“We binti hiyo ni nini nyuma ya sketi yako?”Mzee mmoja alimuuliza mwanafunzi wa kike aliyekuwa mbele yangu na muda huo alikuwa anakata tiketi yake.
“Aha manii !”Watu walishituka kuona vitu vilivyokuwa juu ya sketi ya huyo mwanafunzi nae akaanza kuria kuwa nimemshafua.Watu kuona vile walipandisha hasira sana na ukizingatia kuwa muda huo wa saa moja kasoro usiku na manyunyu ya mvua yakiendelea kudondoka na wamechelewa majumbani mwao hasira zao zote wakaziamishia kwangu.Wakaanza kunikwida huyu ananipiga ngumi yule teke kiasi ikawa purukushani tupu hapo kivukoni.
“Lione kwanza mtu mzima lakini hovyo na hayo mavazi uliyovaa hayaendani na unachokitenda ,au umetoka jera wewe una ukame wa miaka ishirini ?Ptyuuuuuu shenzi kabisa.”Mwanamke wa kati alinifokea.Nilipigwa kweli kweli na ndipo yule mwanajeshi akanibeba na kwenda kunitupa nyuma kabisa ya foleni.Nikiwa nimekaa juu ya msingi wa zege nikawa nawaza ilikuwaje kuwaje mpaka nikawa katika hali kama hiyo .Ni mfadhaiko?Ukame au uzuri wa yule mwanamke ndio ulionichanganya na nikadhani yule mwanamke hakuwa binadamu wa kawaida nikajiambia ni jini kwa sababu haiwezekani nimuone yeye niwe vile kwani katika maisha yangu nishaona wanawake wengi wazuri mno na sijawahi kutokewa na hali kama hiyo.
“Ehe wacha na mimi nicheke teh teh teh alafu pole sana.”Alisema Gwamaka.
”Mimi nadhani kitu kimoja siku hiyo mihemko yako ilikuwa juu sana na toka mchana mawazo yako yalitawaliwa na kufikilia ngono au ulikula karanga mbichi kama siyo hivyo basi ulikunywa supu ya pweza au uliangalia filamu za ngono hivyo ukiwa hapo kivukoni ulipomwona huyo mwanamke ndio hisia zako zikapanda zaidi na kutokea yaliyokukuta .Alifafanua zaidi Gwamaka.
“Hamna bana sikuwaza wala sikula karanga au kunywa upu ya pweza achilia mbali kuangalia filamu za ngono ile ni kama nilitekwa akili zangu kimazingara kwa sababu baada ya wiki moja nikiwa ninatoka benki kuweka fedha pale jengo la Benjamin William Mkapa Pensions Tower nikitembea katika korido ya jengo hilo nikielekea mtaa wa Samora nilishitushwa na sauti nyororo na laini ikiniita kutokea upande wa kulia kwangu ,nilipogeuka na kutizana ninapoitwa nilimuona mwanamke mrembo na mzuri sana akitokea ndani ya jengo hilo,masikio yangu yakatekwa na sauti hiyo na kutamani aendelee kuniita lakini nikawa najiuliza huyu mwanamke nishawahi kumuona wapi kwani sura yake sio ngeni machoni mwangu na jina langu amelijuaje.Nilibaki nimegwaya nimesimama nikimwangalia alivyokuwa ananijia akitembea kwa maringo na madaha hakika macho yakatamani, yakapeleka taarifa kwenye masikio na kumwambia umeisikia sauti ya mrembo huyo nae masikio akajibu ndio nimeisikia na wewe umeona uzuri wa huyo mwanamke nae macho akajibu nimeuona ndiyo maana nimekushitua na wewe kuhusu sauti yake inabidi tumchukue awe wetu ,tuwe tunauona uzuri wake na kuisikia sauti yake tamu.Aliponifikia alikuwa akitabasamu na kuufanya uso wake uvutie zaidi na kunisalimia.
Kutokana na mbumbuwazi niliyopigwa nikashindwa hata kumjibu salamu yake nilikuwa kama kiziwi na bubu mbele yake.Yeye aliligundua hilo na kuanza kunicheka kisha nikasikia kofi laini nimepigwa shavuni na kuniamba”Uhuru naongea na wewe mbona huitikii salamu yangu?”Hapo ndipo nilikuwa kama nimezinduka toka usingizini na kujitambua kuwa nimesimama na mrembo huyo nikajibaraguza na kumwambia salama.Mwanamke yule kuniona bado siko sawa alinishika mkono na kunivuta kisha kuanza kutembea akiniingiza ndani ya jengo hilo na mimi wala sikuwa mkaidi au kumpinga nilimfuata kama mbuzi anayepelekwa machinjoni.Alinipeleka katika hotel iliyopo ndani ya jengo hilo na kuagiza vinywaji na tukala na chakula.Nilisahau kila kitu muda huo kuwa nilikuwa na shughul inyingi za kufanya siku hiyo lakini zote zikafutika ubongoni mwangu kwa kweli mwanamke huyo aliuteka moyo wangu na akili yangu vyote kwa pamoja.Ghafla tukiwa tunaendelea kula nikakumbuka kitu,ni ile ndoto niliyoota siku ile pale kivukoni baada ya kumuona mwanamke mrembo sana na kunisababishia matatizo kwa abiria wenzangu.Mwili ulinisisimka na kujikuta mizuka,mihemko na hisia zikipanda kwa kasi sana.Nilipomtizama usoni huyo mwanamke nilimuona akitabasamu huku akiniangalia kwa macho ya kurembua na kunifanya nizidi kuvutiwa nae.
“Ushanikumbuka?”Mwanamke huyo aliniuliza.Aha nikashangaa nimemkumbuka kivipi, nilipofikiria kwa umakini nikagundua kuwa sura ya mwanamke niliyemuota ndiyo huyo aliopo mbele yangu aha sikuamini.
“Wewe ehe zari hilo mwanangu.”Alidakia Gwamaka.
“Tulia wewe nikusimulie,nilijikuta nimemsogelea karibu zaidi na kumvutia kwangu na kuanza kula denda hakuwa mbishi alitekeleza nilichokuwa nakifanya hamadi tukajikuta tupo katika chumba kizuri mno tukiendelea kufanya yetu ila sikujua tulifika fika vipi chumbani humo.Tulipeana mapenzi moto moto kweli nikajiwazia, nilikuwa namwota katika ndoto lakini siku hiyo nipo nae kitandani ana kwa ana,sura kwa sura,paja kwa paja ,mkono kwa mkono mwanaume nikajituma kweli kweli na kujiapiza sito mwacha kamwe huyo mwanamke ili awe mke wagu na baada ya shughuli pevu nikapitiwa na usingizi mzito mno sijapata ona lakini nikawa naota nipo porini kuna watu wengi wakifanya karamu lakini mimi nimefungwa kamba miguuni na mikononi, mara wanaume wenye nguvu mno wakanikamata na kunipeleka mbele ya madhabahu na kisha kunilaza chali juu ya meza na kunifunga na mikanda iliyopo katika hiyo meza na mmoja wao akatoa upanga ulionolewa sana na kuwa na makali pande zote.Nilikuwa nikilia na kupiga kelele kwa maana nilijua wanataka kunichinja na kweli yule mtu alikuja kusimama usawa wangu na kuinua upanga ule juu kwa mikono yake miwili na kwa nguvu sana akalishusha panga lile kuelekea katika shingo yangu, aha nilipiga yowe hilo na mara nikajikuta nipo mle chumbani lakini kukiwa na viumbe vya ajabu sana wanaotisha nashindwa hata kuwaelezea yaani watu siyo watu wanyama siyo wanyama na kujiona nimefungwa kamba hapo kitandani na nilipojaribu kujinasua nikashindwa kwani zilikuwa zimekazwa haswa.Niliwatizama viumbe wale huku nikiwa nalia na kuwaomba wasinizuru na nilipomtafuta yule mwanamke kati ya hao viumbe sikumuona, nikajiambia leo ndiyo siku yangu ya kifo.Walitokea watu watatu wakiwa na mijeredi mikononi mwao na kuja nilipo kitandani na kuanz kunichapa bila huruma.Nililia sana kuona naadhibiwa bila kosa lolote.Walinichapa mijeredi mpaka damu zikawa zinanitok a na mwili kupasuka pasuka,maumivu niliyokuwa nayapata sijui niyaelezeaje.”
“Eheee!”Alishangaa Gwamaka,
“Ni kwa nini unawatenda mabinti vibaya?”Nilishituka mmoja wa wale viumbe wanaotisha aliniuliza swali hilo.Hapo ndipo nilipokumbuka kumbe nimeingia katika mtego bila ya mimi kujua.Kiukweli mimi ni nilikuwa mzinzi sana.Nilikuwa nawabadilisha wanawake kama chakula.Kuna wengine walikuwa wananipenda kwa dhati lakini nawatenda ndivyo sivyo na baadhi walikuwa wanazitamani fedha na mali zangu nao niliwavuruga kama sina akili nzuri.Ni tamaa ya macho nikimuona kila mwanamke mrembo namtamani na hamu ya masikio kutaka kusikia jinsi mwanamke anavyolalamika tukiwa tunafanya ngono.Nilikuwa siwezi kukaa na mwanamke mmoja kwa muda wa mwezi mmoja, ni lazima nibadili mwingine.Hayo mimi ndiyo niliyaona kama ndio maisha nayotakiwa kuishi na mbaya zaidi nilikuwa lazima nifanye nao tendo la liwati hata kama hawataki niliwaekea madaya ya kulevya nikawafanya.Nilionywa sana na watu mbalimbali lakini mimi nikajifanya kiziwi kutowasikia wanionyacho.
“Unawadhalilisha wanawake kijinsia na kuwafanya vyombo vya starehe na watumwa wa ngono kutokana na fedha na mali zako kiasi kwamba humuogopi hata Mungu.Leo ndio utajua kila chozi alilokuwa analitoa mwanamke akikuriria basi na wewe leo unaria .Mpelekeni bwawani.”Alisema mtu yule na kisha kutoa amri ambapo wale waliokuwa wananichapa mijeredi wakanifungua kamba na kunikokota kunipeleka huko bwawani.Sikuweza hata kutembea mwili wote ulikuwa nyag’anyang’a,walinifkisha bwawani na kunidumbukiza humo mayiiiii nililia sana huku nikitapatapa kama paja la kuku limedumbukizwa katika kikaangio kilichojazwa mafuta na kwenye jiko kukiwa na moto mkali.Lilikuwa bwawa kama la kuogelea na nikisimama ndani yake kutokana na kuwa mfupi nikawa nazama, lenye pilipili,chumvi na limao nyingi ajabu aha sitasahau.”
Kabla sijapotezewa na fahamu nilimsikia yule mtu akisema “Hapo ndipo mahali pa kujutia yote uliyoyatenda na kumkumbuka Mungu wako ni kama kijisehemu ya jehanamu ili ushike adabu na kuujua utu wa mtu kuwa hauchezewi,leo na sisi tunauchezea utu wako mpaka utajua nini maana ya utu.”Baada kama ya dakika tano nikiendelea kulia yule mtu aliamrisha “Tieni maji matamu.”Mara nikashangaa kuona lile bwawa maji yake yakipungua kuelekea chini na yaliponifikia maji ya ugoko nilishituka kuona maji ya moto yakimiminika na kuinga mle,maji yale yaliniunguza sana, nilipiga kelele za kuomba msaada lakinisikusaidiwa mpaka nikapoteza fahamu.
“Duh”Alidakia Gwamaka.
“Nilizinduka baada ya siki mbili na kujikuta nimo chumbani mwangu nyumbani kwangu nikiwa na majeraha kila mwili na macho yamevimba huku ngozi imebabuka babuka.Kuna ndugu yangu alinipeleka kwa mganga anitazamie tukio hilo na mganga aliniambia kuwa kuna mwanamke mmoja lakini alikataa kumtaja jinandiye aliyenifanyia hivyo kama kulipa kisasi baada ya mimi kumtenda vibaya sana na yeye akajiapiza lazima na mimi nitalia kama yeye alivyolia hivyo alikwenda Tanga na kunifanyia huo mchezo na yule mwanamke niliyemuona kivukoni alikuwa ni jini kweli kama nilivyokuwa nahisi mwanzo lilitumwa kunikamata hakika nikakamatika.Nilijiuguza kwa muda wa miaka mitatu lakini jicho langu la kulia likawa halioni tena ingawa linafunguka na sikio langu la kushoto likagoma kufanya kazi na kuwa halisikii kabisa na mwili wangu kuwa na mabaka mabaka kama hivi unavyoona .Toka siku hiyo nilikoma kabisa mambo ya uzinzi .Sasa hivi nimeokoka na nafuata sheria za Mungu.
“Ehe pole sana kaka ,hapo ni kwamba jicho liliponza sikio na sikio likaponza jicho.”Alisema Gwamaka na kufanya tutabasamu wote.
MWISHO.

Post a Comment

0 Comments