Header Ads Widget

Responsive Advertisement

KITAMU KINALIWA NA WENGI



SIMULIZI FUPI - KITAMU KINALIWA NA WENGI


Mmh kweli harua haina makombo lakini yataka moyo kula kile ambacho umekiona kimeliwa na mwenzako muda mfupi. Sweet mama Sukari siamini, lakini bado nampenda na msaada wake kwangu mkubwa..Lakini kwa hili mmmh we acha tu...Kafanya nini kwa nini uumie kichwa? Endelea sasa uone utamu wake....

                           ***************
 Niliyafumbua macho yangu na kujikuta sehemu niliyolala ni ngeni machoni mwangu. Hali ile ilinishtua sana na kufanya ninyanyuke na kukaa kitako, kilichonishtua zaidi hali niliyojikutana nayo ya kuwa mtupu bila nguo kuonyesha nimelala bila nguo. Pembeni yangu kwenye kioo kikubwa kulikuwa na mwanamke mmoja aliyekuwa akijipaka mafuta akiwa amenipa mgongo. Kwa haraka haraka kila nilivyo muweka akilini mwangu alikuwa mgeni kwangu. Nilijiuliza huyu ni nani msichana aliyeonekana mbichi tena aliyependelewa mandhari ya nyuma na Mwenyezi. Hakuna na wasiwasi alichukua nguo yake ya ndani na kuivaa akiwa bado amenipa mgongo. Swali lilikuwa nilifanya naye mapenzi? Kama tulifanya mapenzi tulitumia kinga au ndiyo yaleyale ya mlevi hukumbuka mpira baada ya tendo. Kwa haraka nilijikumbusha mara ya mwisho jana yake nilikuwa wapi? Mmh!

Nilikumbuka jana ilikuwa siku mbaya sana kwangu pale nilipomfumania mpenzi wangu na rafiki yangu wa damu kitu kilichonichanganya akili. Kutokana na kuchanganyikiwa nilijikuta nimekwenda Billicanas na kuamua kunywa sana....Mmh! Nakumbuka kuna mrembo alikuja na kuomba tujumuike meza moja..Ooh! Sawa kweli kabisa naye akaanza kutembeza ofa. Kuanzia hapo kilichoendelea sikujua mpaka nilipojikuta pale. Wakati nikiwa kwenye lindi la mawazo nlishtushwa na sauti tamu na laini ya yule mrembo ambaye wakati huo alikuwa amegeuka akiwa amejifunga mtandio mwepesi na ndani alikuwa amevaa  bikini nyekundu. "Vipi mpenzi mbona upo katika hali hiyo?" nilishtuka na kujikuta nikisimama kitandani bila kujielewa kama sina nguo mwilini na kunifanya niwe kichekesho cha kusimama nikiwa mtupu.

Niliichukua shuka na kujifunga kisha nilimfuata yule msichana ambaye alionyesha ni mtu wa gharama kutokana na maskioni na kifuani kuwa na vito vya gharama. Nilijikuta nimemfuata na kumkunja kwa kuushika ule mtandio ambao ulitoka mwilini mwake na kumbakiza na nguo ya ndani tu. "We ni nani na hapa nipo wapi?" "Taratibu mpenzi mwanamke hatumiwi nguvu hivyo." "Nani mpenzi wako malaya mkubwa?" nilimkata kauli "Asante nashukuru, hiyo ndiyo asante yako kwa wema niliokutendea. Nimepoteza muda wangu kwa ajili yako, leo hii shukurani yako ni kuniita mimi malaya asante...asante.. nashukuru." Baada ya kusema vile yule binti mrembo alianza kulia huku akikaa kitandani bila kuokota mtandio wake. Kauli ile ilinifanya nijione mjinga kwa kurupuka kutukana bila kujua nimefikaje pale.

Nilikuta nikimuonea hutuma na kujisogeza pembeni yake na kuanza kumbembeleza kwa sauti ya upole. "Samahani mrembo, nimekosea unajua nimechanganyikiwa mwenzio." "Najua umechanganyikiwa na ndiyo maana sikutaka kukuacha peke yako najua watu wangekufanya vibaya." "Ni kweli kabisa nashukuru narudia naomba unisamehe sana," niliyasema yale nikiwa napiga magoti mbele yake. "Najua lazima uchanganyikiwe kusalitiwa kunauma tena kwa mtu wako wa karibu." Mmh! kauli ile ilinishtua na kunifanya niwe mpole na kujiuliza ni nani aliye mueleza siri yangu. "Mrembo umejuaje yote hayo?" "Jana baada ya kukuta peke yako nilishangazwa na unywaji wako wa pombe huku akijifonza kila dakika ilionesha kuna kitu kisicho cha kawaida kimekuchanganya,  ukinywa pombe kwa fujo nilijitahidi kukuzuia na kukuhoji kulikoni kuwa katika hali ile. “ Ndipo uliponieleza kuwa mpenzi wako ambaye ndiye uliyemchagua kuwa mkeo amekusaliti na rafiki yako wa damu." "Ooh!" nilijikuta nikishika mdomo kwa mshtuko. "Kwa kweli kitendo kile hata mimi kiliniuma na kuchukua nafasi ile kukuliwadha kwa kuchagua hoteli hii kukuweka ili upumzike nami kuchukua nafasi ya kukupoza machungu japo sikupata kile nilichokitalajia kwako nilikula hivyo hivyo japo sikushiba." Kauli ile ilinishtua na kujiuliza ana maana tumefanya ngono, kibaya hata kondomu sikuona nimuuliza. "Ina maana tumefanya ngono" "Kwa kiwango cha chini sana kutokana na wewe kuzidiwa na pombe." "Tumetumia kondomu?" "Mmh! Muda ulikuwa umekwenda sana hatukuweza kupata kondomu." "Mungu wangu nimekwisha," nilijisemea moyoni. "Kwa hiyo mpenzi hunipi cha asubuhi kabla ya kuagana maana nilikuwa sawa kuchambia pilpili bila kupata ukunaji." Ilikuwa sauti ambayo iliufanya mwili wangu usisimke, wakati huo alikuwa ameisha nisogelea karibu yangu na kuitoa shuka wakati huo na mkonga wa tembo ulikuwa juu. Binti kama katiwa fungua alianza kunipa mshike mshike na kujifanya niende wavuni bila mpira. Baada ya mshike mshike tulizama sote huku nikimaliza hasira zangu zote kwa binti yule ambaye alinimwagia sifa zote. Naye alionekana mahili kwenye medani ile kwa kunitoa jasho jepesi lililotufanya sote tutepete. Sikuamini pamoja na umbile lenye ushawishi la mwanaume kufanya mapenzi bila kinga bado muumba alimpendelea nyonga laini. Mwanaume nami kwa wepesi ya gia kila kilivyogusa gari liliozidi kuchanja mbuga. Wepesi wa nyonga yake ulinifanya nitandaze soka safi lililomtia uchizi motto wa wake. “Haki ya nani u..u..najua wanaume wote hawana kitu ni wewe tuuuu haki ya nani la..la..lazima unioee. Unajua…unajuaaa li..li..lingine hilooo,” Maskini motto wa kike alijipindua kama mkizi na kunikumbatia kwa nguvu alikuwa amepasua dafu lililokuwa na maji mengi baada ya kunishika kwa nmguvu aliniachia na kujilaza bila kujielewa.

Mwanaume kwa mara ya kwanza nilikutana na mwanamke mwenye sifa zote pia mwenye uwezo kwa kukata mawimbi bila kuogopa dhoruba. Nilimwangalia mwili wake uliokuwa umetoka kwa jasho chuchu zake zilizojaa kifuani na kukufanya uzitamani kuninyonya kila uzionapo zilikuwa kama embe nyonyo ambazo zilihitaji kunyonywa tu ukitumia kisu ungezionea. Niliangalia tumbo dogo la binti aliyekuwa amejilaza hajitambui, ukiliangalia unaweza kusema akila tunge mbili ameshiba nilitelemsha macho yangu taratibu hadi kwenye kiuno kidogo kilichobeba hipsi na kuingia ndani kidogo kuyaruhusu makalio yabinuke kwa nyumba na kuongeza muonekano usiochosha kuutazama akiwa na nguo akivua msalie mtume. Binti aliyekuwa amelala pembeni yangu alinifanya nisichoke kumtaza, nilitamani kutoa dozi nyingine lakini hali yake ilinifanya nimuache apumzike kwangu alionesha kuchoka sana hata lala yake ilionesha hajitambui. Kwa vile nami nilikuwa nimechoka sana nilijilaza pembeni yake na usingizi mzito ulinichukua.

****

Wa kwanza kushtuka alikuwa yule mrembo ambaye alikuwa amekaa kitako huku akiachia tabasamu pana baada ya kukutanisha macho. Niliopom,uangalia sana aliangua kicheko. “Vipi mbona unacheka,” nilimuuliza huku nikitaka kujinyanyua lakini nilihisi bado mwili ulikuwa na uchovu mkali. “Mmh! Siamini kwangu leo itakuwa historia.” “Kwa nini?” “Haijawahi kutokea, siamini na sitaamini kweli kila mzizi una mchimbuaji wake.” “Kwa nini unasema hivyo?” “Sijawahi kuvunja madafu mengi toka nivunje ungo kama leo,” alisema huku akichezea love garden zangu. “Kwa vipi?” “Kwa mara ya kwanza nimejua kwa nini wanawake hujinyonga baada ya kuachwa na mpenzi wake, hivi raha za leo ukininyima tena naweza kufa.” “Raha gani?” “Mmh! Leo umejua kunikamua mtoto wa mwanaume mwenzio, mpenzi japo umenipa raha za ajabu lakini silijui jina lako.” “Naitwa Dafa.” “Ooh! Dafa ni mwanamke wa kwanza kunilaza usingizi wa pono, lazima nilizilinde raha hizi kwa nguvu zote, umeoa?” Kutokana na kumchanganya na machejo ya kugusa sehemu muhimu mrembo ambaye hata mimi nilikuwa sijui jina lake, alisahau kuwa nilimueleza amesalitiwa na mchumba wangu. “Mrembo si nimekueleza nina mchumba.” “Ooh! Mambo uliyonifanyia yamenichanganya sana, nina imani umeamini kuwa mchumba wako si mkweli kwa hiyo naiomba nafasi hiyo.” Kutokana na mambo niliyofanyiwa na uwezo wake mkubwa kitandani ulinifanya nimkubalie bila kutaka kumchunguza historia yake. “Kwa uliyonifanyia ya ndani na nje ya kitanda sina budi kukubaliana nami nimejikuta nikikupenda ghafla kama ugonjwa wa moyo unavyomuua mtu kwa ghafla.” “Asante nakuahidi kukufanyia mambo makubwa kukupoteza ni sawa na kuipoteza pepo ya duniani ambayo hakuna kiumbe anayetaka kuipoteza.”

 Kwa vile tulilala kwa muda mrefu tulikwenda kuoga kisha tulipata chakula cha nguvu ambacho alilipia mrembo yule ambaye baada alinieleza anaitwa Anna. Baada ya chakula hakuchoka kunitazama kama kaona kiumbe kimpya duniani, muda wote alikuwa ubavuni kwangu na kusema: “Asante sana mpenzi kwa penzi lako tamu, amini kama kuna mwanamke atakuwa tayari kuilipoteza penzi tamu kama hili. Namshangaa mwanamke mwenzangu kugawa raha kama hizi.” “Yaani hata siamini,” nilijibu huku nikimshangaa yule mwanamke iweje ajitoe kwangu mtu asiyenijua. “Mpenzi naomba nikuache niwahi nyumbani.” “Umeolewa?” nilimuuliza kwani sikuamini kwa urembo  kwama yule kuwa peke yake japo alitaka niwe naye. “Hapana naishi kwetu.” “Huna rafiki wa kiume?” “Nilikuwa naye lakini si muaminifu niliamua kuachana naye.” “Sawa mpenzi nashukuru kwa yote uliyonifanyia na mapenzi mazito kwangu sijui tutaonana lini na saa ngapi?” “Mmh! Hutoka mara moja kwa wiki lakini kwa penzi tamu ulilonipa leo lazima jioni tukutane kwenye baa tuliyokutana.” ”Hakuna tatizo.” Ajabu nilipotaka kumpa fedha alikataa na kusema yeye alikuwa nazo na kuniongeza kiasi cha fedha kama laki moja. “Hii zitakusaidia mpenzi wangu kwa usafiri ila ukiwa na shida niambie usiogope.” “Hakuna tatizo.” Niliagana na Anna na kurudi zangu nyumbani nikiwa na mtazamo mwingine baada ya kumpata mpenzi mpya aliyekuwa amemuacha mbali mpenzi wangu aliyenisaliti na rafiki yangu. Kuanzia siku ile mimi na Anna tulikutana jioni na kuachana asubuhi. ****

Anna alinieleza yeye ni mfanyabiashara mkubwa jiji, kutokana na vito vya thamani alivyokuwa akivaa na uwezo wa kifedha kwa kulipia hoteli kila tupokutana pia kunipa fedha ya nauli. Mara nyingi jioni alikuwa akinipeleka sehemu na kuniacha kwenye baa kabla ya kuondoka alinunulia pombe ya kutosha kisha unieleza anakwenda kumuaga mjomba wake na aliporudi baada ya saa nzima siku nyingine saa mbili akiwa amebadili nguo na kuondoka naye mpaka hotelini ambayo tuligeuza kama yetu. Kutokana na uwezo wangu mdogo kimaisha Anna alinitafutia sehemu katikati ya jiji na kulipia fedha nyingi kwa ajili ya kunifungulia duka kubwa la spear pia alinieleza baada ya mwezi mmoja na nusu gari langu la kutembelea lingeingia hapo ndipo tungepanga mipango ya ndoa. Kama kawaida yetu kila jioni lazima apitie kwa mjomba kwanza kumuaga kisha alinipitia na kuondoka. Siku moja baada ya Anna kwenda kwa mpenzi wake aliniacha nikipata kinywaji, mara walitokea jamaa wawili ambao niliungana nao katika meza yangu na kuanza kupiga stori. Mmoja aliniuliza swali ambalo lilinishtua kidogo. “Eti mkubwa yule ni dada yako au mtu wake wa karibu?” “Kwa nini?” “Kila siku huwa anakuacha hapa na kukupitia kisha huwa mnaondoka kama wapenzi vile.” “Ni mpenzi wangu.” “Mpenzi wako au unatania maana siku hizi kuna wapambe wa kiume kumsindikiza demu kwa mpenzi wake kisha kupewa posho kidogo.” ”Hivi mnanionaje?” “Samahani usituelewe vibaya wewe kijana mwenzetu lazima tukueleze ukweli juu ya huyo demu.” “Ana nini?”

Wasiwasi wangu huenda ameathirika. “Kwani akikuacha hapa anasema anakwenda wapi?” “Kwa Anko wake.” “Ni kweli mpenzi wako?” “Na muda si mrefu tutafunga ndoa.” “Mmh! Basi tuyaache kama yalivyo tusije kukuhalibia bure.” “Naomba mniambie kuna nini?” “Lazima uwe na moyo wa kiume, huko anapokwenda demu wako si kwa mjomba wake bali kwa jamaa yake mmoja TX mmoja ndiye anayemlinda mjini makeke yote ni kwa ajili ya huyo jamaa.” “Kweli?” “Kweli kabisa.’ ”Sasa huko anakwenda kufanya nini?” niliuliza swali la kijinga. “Wewe mtu mzima swali gani hilo.” ”Nitapataje ukweli kuwa yule si mjomba wake bali mpenzi wake.” “Tunaweza kukupeleka, mwanzoni tulikuwa tukipiga chabo lakini baada ya kuona jamaa mchovu tuliachana nayo.” Kwa kutaka uhakika niliongozana na wale jamaa hadi kwenye jumba moja la kifahari na kunielekeza niwafuate taratibu hadi kwa nyuma kisha walinisogeza kwenye dirisha moja na kuchungulia ndani. Sikuamini mpenzi mwangu Anna alikuwa mtupu pembeni ya kipisi cha jamaa mmoja mzungu ambaye naye alikuwa mtupu. Nilimsikia yule mzungu akilalamika: “Sasa mpenzi milioni mia tatu ndogo?” “Unaziona nyingi hivi kila siku unauchezea mwili wangu unaona raha eeh?” “Basi kesho nitakuongezea zingine mbili.” “Kama kesho utanipa mia tatu.” “Sawa mpenzi.” Nilitaka kupiga kelele baada ya kujua Anna naye hakufaa kuwa mke wangu kwani ilionesha ni kahaba mzoefu anayefanya biashara ya mwili. Niliamini kabisa hakuwa na bwana mmoja, kabla sijapiga kelele jamaa na kunieleza: ****

“Kaka tumekeleta umuone mjomba nina imani ukweli umeujue.” “Leo huyu mwanamke atanitambua.” “Akutambue kwa lipi, kwanza jione mtu mwenye bahati anachokitafuta kwa mwili wake anakula wote nina imani anakupa fedha nyingi.” “Ni kweli lakini si muaminifu.” “Kaka hukumkuta bikira, jilie na kipofu ukimshika mkono utakosa mwana na maji ya moto. Siku hizi kizuri hakiliwi na mmoja na pia harua haina makombo.” Nilitulia kwa muda nikiwaza jinsi Anna alivyoyabadili maisha yangu kwa muda mfupi na mipango ya kunifanya tajiri, niliamini kabisa kitamu hakiliwi na mmoja. Niliporudi baa hata pombe ilinishinda, baada ya muda Anna alirudi na kuja kunibusu huku akisema: :Samahani mpenzi kwa kuchelewa,” Maneno yale mbele za watu niliona kama kuvuliwa nguo. Nilinyanyuka na kuongozana naye kabla sijafika mbali jamaa zangu aliniita na kunieleza: “Kaka kitu kinalipa nina imani huo mkoba una milioni mia tatu vumilia utakula vingi jifanye hujui lolote sawa kaka.” “Sawa,” nilijibu kwa sauti ya unyoge. Kwa kweli siku ile niloipoteza uchangamfu kabisa kitu alichokiona Anna na kuhoji hali yangu. Nilim danganya naumwa hata mapenzi kwa siku ile hatkufanya.

Ajabu siku ile ndiyo aliyoniletea maneno matamu kwa kunieleza vifaa vyote vya duka langu vimefika na kazi itaanza mara moja pia alikuwa ameninunulia nyumba ya kuishi ambayo ilikuwa kwenye matengenezo ya mwisho. Nilijikuta nikijiona mjinga kama kama nitaendelea kukosa raha, niliamua kuigawa dozi ya nguvu iliyomfanya azidi kumwaga ahadi. Baada ya muda vitu vyote vilikwenda kama alivyoniahidi. Pia tulifunga ndoa ambayo ilikuwa tofauti na nilivyofikilia kuwa cha wote. Kipigo cha pweza kilimfanya aachane na wanaume wote kwani fedha alikuwa nayo nyingi. Sasa hivi tuna watoto mapacha waliofanana na mimi kuongeza ukweli sasa kitamu najilia peke yangu.                                                 

  MWISHO

Post a Comment

0 Comments