Header Ads Widget

Responsive Advertisement

JUA STYLE 7 MPYA ZA KUFANYA MAPENZI ILI MPENZI WAKO AWEZEKUSHIKA MIMBA FASTER..

.Related image.

kazi kwako
sasa....ushindwe wewe tu.. 1.Kufanya mapenzi katika
mtindo (style) ambayo itafanya
mbegu za kiume zikae kwa
muda mrefu ukeni na hivyo
nyingi kupanda kuingia kwenye
kizazi na kwenda kurutubisha yai.
'missionary position' ni nzuri
zaidi, ambapo mwanaume
anakuwa juu, epuka positions za
mwanamke kuwa juu kwani
hufanya mbegu zimwagike kwa gravity. Jaribu pia kuweka mto
chini ya kiuno ili kukiinua na
kufanya mbegu ziingie ndani
kwa urahisi zaidi.
2. Tumia ovulation prediction kit,
hiki ni kifaa ambacho kitakusaidia kujua wakati hasa
mwanamke ameengua yai na
ndio kipindi ambacho
mwanamke ana uwezo wa
kushika mimba akikutana na
mumewe. Ni rahisi kutumia. 3. Fanya tendo la ndoa kabla ya
kuengua yai (kabla ya ovulation),
huongeza uwezekano wa
kushika mimba kuliko kusubiria
ovulation au kufanya baada ya
ovulation. Kutaneni siku mbili au tatu kabla
ya ovulation. Ukitumia ovulation
test kit, mkutane kuanzia siku
itakapokuwa positive kwani
huwa inapredict ovulation
kutokea 48 hrs after it tests positive.
4. Usitegemee njia ya kalenda
kutabiri uenguaji yai, njia hii kwa
kiasi fulani huweza kuwasaidia
wale wenye mzunguko wa siku
28, lakini pia haina uhakika wa 100%, wengi wa wanawake
hawaengui yai siku ya 14 ya
mzunguko wa hedhi, kwa hiyo
kutegemea kalenda
kutakuchelewesha kupata
ujauzito. 5. unapotaka kushika mimba,
acha au punguza kwa kiasi
kikubwa matumizi ya pombe,
sigara au dawa za kulevya.
6. unapotaka kupata mimba,
tendo la ndoa liwe kitu 'enjoyable' na sio tendo
'mechanical' kwa ajili ya kutafuta
mtoto. Plan a romantic evening
or try something different to
spice things up.
How you are feeling sexually may increase your chances of
getting pregnancy. For women a
better orgasm may help pull the
sperms into the uterus and for
men a better orgasm may
increase their sperm count. 7Kufanya tendo la ndoa mara
kwa mara, angalau siku tatu kwa
wiki, ikiwezekana on alternate
days.
Kumbuka kuna asilimia 10 - 25
ya couples ambazo zina matatizo ya infertility lakini
vipimo havionyeshi tatizo,
inaweza kuwa namna ya
kufanya mapenzi ndio ikawa
shida, jaribu njia hizo 7 juu.
Kama hizi njia hazijakusaidia basi utakuwa na matatizo na
unaweza kumuona daktari kwa
msaada wa vipimo na matibabu.
Natumaini uzi huu unaweza
kuwa msaada kwa watafutao
watoto.

Post a Comment

0 Comments