Header Ads Widget

Responsive Advertisement

KUONDOA WEUSI KATIKATI YA MAPAJA NA KWAPA Leo wapendwa nataka kuongelea jambo ambalo linasumbua sana wanawake sio kwamba wanaume wao hawana bali hawalichukulii kiundani sana kama sisi wanawake linavyotusumbua, weusi katikati ya mapaja najuwa wanawake hapa wenye tatizo hili wamesema kweli kabisa.. Weusi huo wanawake tunao sana kwasababu ya jasho katikati ya mapaja maana kutwa yanagusana kwa kuvaa sana skirts na vitu vingine vingi vinavyofanya mapaja kuwa meusi labda hata mimi sivijui utafanyaje kama na wewe mapaja yako yapo hivyo..utatumia mafuta ya nazi Ndio mafuta ya nazi ndio dawa ya kusafisha huo weusi ukishaoga asubuhi, mchana na jioni unayapaka kwenye mapaja ndani ya mwezi bila kuacha hata siku moja utaona huo weusi wote unapotea kabisa. Kama hukulijuwa lako hilo beba na baba mpe na mkeo pia ukirudi nyumbani NJIA 3 ZA ASILI ZA KUONDOA WEUSI KATIKA MAPAJA NA MAKWAPA. Inner thighs/mapaja ya ndani na makwapa hutokea weusi kutokana na msuguano wa ngozi kwasababu ya mapaja kugusana, hata ngozi iliyokauka pia inaleta weusi katika ngozi. Hivyo nimekuletea njia natural ya kuondoa weusi huo bila kutumia madawa makali. 1. TUMIA MAFUTA YA NAZI NA NDIMU. Mafuta ya nazi yanatumikakulainisha ngozi lakini unaweza kutumia pia katika kuondoa weusi ukichanyanya na ndimu..fata step hizi:: Chukua vijiko 3 vya mafuta ya nazi changanya na ndimu nusu Paka sehemu yenye weusi katika mapaja huku ukisugua kama unafanya massage kwa dakika 15. Kisha osha na maji ya uvuguvugu na kausha kwa kitambaa kilaini na kisafi. 2. TUMIA MCHANGANYIKO WA SUKARI ASALI NA NDIMU. Mchanganyiko huu pia unaweza ukaondoa weusi katika mapaja na makwapa, fuata step hizi:: Changanya kijiko kimoja cha asali, ndimu nusu na kijiko kimoja cha sukari. Paka sehemu yenye weusi na sugua kawaida hadi sukari ipotee. Acha ikae kama dakika 10 kisha osha na maji ya uvuguvugu. 3. GANDA LA CHUNGWA NA ASALI Kama mnavyojua machungwa yana vitamin C, na hivyo ukichukua ganda la chungwa pamoja na asali, mchanganyiko wake pia unaondoa weusi. Fuata step hizi:: Chukua ganda la chungwa na kijiko kimoja cha asali. Kamua hilo ganda maji yake yangie kwenye asali. Kausha nakusaga hilo ganda kisha poda yake ichanganye na asali Paka mchanganyiko huo katika sehemu yenye weusi, kaa kwa muda wa dakika 15 Osha na maji ya kawaida hadi kugandaganda kupotee.

Mjumbe hauwawi leo nagusa penyeweee.

Sio wote ila 90% hii inawahusu.

Nafanya kazi hii kwa niaba ya kutetea wanawake wanaokereka na vitabia vyenu vya ajabu, wengi wamekuja kwangu wakilalamika nikaona isiwe taabu mpo humu humu wacha leo niwachane live afu nitoe somo ole wako msizingatie ntalala na nyinyi mbele.

Kila mmoja anajua kuwa usafi kwenye mapenzi ni kitu muhimu kuliko hata pesa, ingawa pesa ni moyo mkalia roho.

Baadhi ya wanawake kama kumi hivi, wanalalamika uchafu wenu hasa sehemu kuu sita, wao wanaona aibu kuwambia ila mimi ahaaa ntasema yote leo.

RB inahusu sehemu kuu hizi hapa.

1, kwenye bustani / konkinii
2,Makwapani
3, Kwenye ule mfereji wa makalio.
4, Meno/ kinywa
5, Masikio
6, Kitovu.

Hivi nyie kaka zetu, waume zetu, waume zetu watarajiwa huwa mnanyoa ikulu yenu baada ya muda gani? yaani mkaka umevaa vizuri umependeza, umejikalisha kiti cha mbele unaangalia mpira yanga vs kagera sugar , ama uko offisini unajizungusha kwenye kiti huku chini una vu.zi refu kiasi hicho na wewe unataka demu? kwa nini hamnyoi atleast kila jmosi? hayo manywele mnamtunzia nani?

Ama mnajidanganya eti kwakuwa konkii ndio inaingia ndani hakuna haja ya kunyoa nani kasema? wewe huyo huyo unataka mdada wa watu sijui akunyonye naniliu, nani yuko tiyari kubeba v,zi kwenye meno?

Wanawake tumeumbwa mateso imagine mwanaume kama huyu anaishi mikoa yenye joto kama dar mwezi mzima hajanyoa hivi hii ninii kweli?unamwachia nani kwa mfano?

Ni uvivu kunyoa ama mna vitambi hamuwezi kuinama, ni nini shida jamani? kwa niaba ya wanawake nasema hivi lazima mbadilike sio ombi ni lazima, nunua zile shaver zile za kushika mkononi, sio hivi viwembe vya mia mbili, nyoa v.zi lote kuwe kipara.

Huwa najiuliza hii tabia ya kutonyoa na kufanya usafi wa maana inaanzia wap? mwanaume unaoga dakika 5 really?? hivi kweli mtu uliekamilika utaogaje dk 5 utoke bafuni? hii haiwezekani na haikubaliki binadamu mwenye akili timamu, siku za kazi lazima amalize dk 30 bafuni, na weekend minmum lisaa limoja na kuendelea. panga muda wenu amka mapema jipe lisaa limoja maandalizi.

Kwapani: jamani madukani hata supermarkets kuna shaver nzuri bei rahisi tu 2000 ukitoka mpirani leo embu nenda nayo nyoa kwapa lote lipendeze bana.

Kwenye ule mfereji: nani kasema kunyoa zile nywele za makalioni ni ushoga? embu acheni hizo mwanamke wa kujiamini kama mm siwezi kuta mkaka wa watu kanyoa nywele za kule nikamuwazia mabaya, tangu leo nasema hivi huo ni uchafu kama unazo leo nyoa zote kipara usiende nazo kesho kazini.

Meno: huwezi kupiga mswaki dakika mbili ukanambia kinywa chako ni kisafi no no no no big NO, mwanaume huwezi kuweka dawa kwenye mswaki mara moja ukaswakulia hiyo hiyo kinywa kikatakata, kiustaarabu dawa ya mswaki lazima uweke mara tatu ama nne, na dawa sahihi ya kutumia ni colgate/ sensodyne achana na whitedent dawa za wanafunzi hizo.
kuweni wastaarabu watu wengine tunapenda zetu kiss, hakikisha una mouth wash bafuni kwako, uitumie kila baada ya kupiga mswaki, hasa kabla ya kulala usiku.

Masikio kwa kuwa wengi wenu mnaoga dk mbili mnakimbia kama mnakimbizwa masikion hamgusi, hii tabia ikome leo. kama mnavyopenda kutupiligicha kwenye masikio na sisi tunapenda kuwaswisumula masikioni hasa wakati wa kuomba kitu ambacho tunaona aibu kusema so hiyo sehemu iwe safi bana.

Kitovuni: wengine mna vitovu vilivyobonyea huko kunajificha uchafu ni lazima wakati unasugua maeneo ya tumbo weka kidole sugua vizuri.

NINI CHAKUFANYA??

Let say siku ya jmosi/j2 uko nyumbani fanya zoezi hili, tunaanzia juu mpaka mwisho.

Hapa ndio maandalizi ya kuoga so hapo ulipo kama umeshanyoa sehemu za siri na kwapani kama nilivyokwambia hapo juu twende pamoja.

Sina tatizo na kichwani tuanze na meno .Meno sometimes kabla ya kuswakuwa kwa kutumia mswaki chukua backing soda kidogo changanya na limao, koroga iwe nzito chukua njiti zile sehemu ambapo mswaki haufiki sugua kwa njiti, unachovya kwenye mchanganyiko wa backing soda limao unasugua vizuri kwa njiti, baada ya hapo tafuta uzi pitishia katikati ya meno yote baada ya hapo weka dawa kwenye mswaki sugua meno na ulimi hata kwa dk 20 suuza vizuri kinywa.

Baada ya hapo anza kuoga lazima uwe na dodoki ( napendekeza dodoki zile za groves ziko madukani sh,1000 ziko mbili yaan pair.) na sabuni yako nzuri, nawa uso, sugua vizuri kwenye masikia yote shuka shingoni, sugua, vizuri maana tunapendaga kuwakiss shingoni, inua mkono sugua kwapa kumbuka hapa ushanyoa nywele zote kwapani, nyanyua mkono mwingine sugua vizuri shuka tumboni sugua, pale kitovuni sugua kwa kidole , sugua mgongoni, rudi mbele sasa maeneo ya ikulu,kamata konkii ibinue kwa juu sugua kwa dodoki na sabuni zile naniliu zisugue vizuri, suuza dodoki paka sabuni, sugua makalio na ule mrejeji sugua vizuri, kaa kwenye ndoo kama una kile cha kusugua miguu sugua then mwisho fungua maji ya kutosha ama kama unatumia ndoo oga maji ya kutosha tiyari jifute kwa towel yako safi.

haya toka bafuni njoo chumbani sasa,

Ukimaliza zoezi hilo jipake lotion yako nzuri, wengine hamna hata lotion,yaan mwisho kupaka mafuta/ lotion mlipakwaga na mama zenu mkiwa wadogo. matako yenu yamepauka hakikisha mnayapaka lotion nzuri mnapendeza, perfume isikose hapo dressing table yako, baada ya hapo unaweza kumpigia simu baby wako " baby plz come home"

wanaume mkifanya haya yote hakuna demu atakae kuacha labda kama karogwa. binafsi naweza kumpenda mwanaume kwa usafi wake kwanza mengine baadae.

Mimi niko likizo kwenye haya mambo ila kbla sijapumzika nikikutana na mwanaume anaefanya haya yote nilikuwa namsubiria mlango wa bafuni akitoka tu nakamatia konki master yake pale pale nashuka zangu nyege....zi.

"Mapenzi usafi bana msitukaushe uzazi" loh.

Note: leo ni zamu ya wanaume next week ni zamu ya wanawake nina RB zenu nyingi tu. hatukaki kero usafi ni lazima.

povu njooo........

Post a Comment

0 Comments