Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Kwanini wabunifu na wanamitindo wa nguo (wanaume) wanakuwa mashoga?



Nimekuwa nikifanya utafiti mdogo wa wanaume wengi wanaojihusisha na ubunifu wa mavazi duniani kujihusisha na ushoga (gay) lakini nikashindwa kupata majibu yaliyo sahihi.

Nimeleta kwenu Great thinkers nikijua nitapata majibu sahihi kwasababu humu jamvini kuna watu mbalimbali wenye uelewa tofauti na unaozidiana.

Ukiangalia kwa ulaya limekuwa jambo la kawaida kwa hawa designers hasa ma-CEO kushiriki mapenzi ya jinsia moja,mfano:





1. Tom Ford



2. Gianni Versace



3. Giorgio Armani


4. Marc Jacobs (Louis Vuitton)





5. Dolce & Gabbana



Michael Kors akiwa na partner wake Lance Le Pere.​


Hawa na wengine ni wale baadhi ambao wamejitangaza kushiriki mapenzi ya jinsia moja na dunia inalitambua hilo.

Hata kwa Tanzania ukifuatilia kwa makini wabunifu wa kiume wengi washaingia kwenye mkumbo wa kuhusisishwa na hayo mapenzi,wapo wengi nisingependa kuwataja maana hakuna uthibitisho kamili kama wanacheza hako kamchezo.

soma hapa;
Rio paul na Ally Remtulah ni mashoga??

Unamjua huyu?

Najua kuna wengi wangependa kujua uhusiano wa ubunifu wa mitindo na ushoga,kwa hiyo wanajamvi naomba tusaidiane kueleweshana.

============


masai dada said:
Aisee nimeona video ya rio the stylst instagram akikata mauno uchi hata mimi sifui dafu kama siwezi kabisa
aiseee ni,estaajabu mchana wa leo.

Lakini najiuliza why s/he did that akarekodiwa kabisa.

Ila la mwisho kwa nini wanamitindo wakiume wengi ni magays?
Japo pia wako wa kike malesbo ila ya leo imenipa tafakuri kubwa.

Just nenda insta kwenye page ya usipojipanganitakupanga ujione maajabu ya dunia ya Tanzania

Pamo
Nyani Ngabu said:
Sina uhakika sana kama wengi ni mashoga kuliko wasio mashoga kwa sababu sina takwimu zinazothibitisha upande mmoja au mwingine lakini kuna ukweli kuwa kuna idadi kubwa ya wanamitindo wakubwa na wenye majina hata huko Ulaya na Marekani walio na mwelekeo wa hivyo.

Michael Kors ni shoga. Marc Jacobs ni shoga. Alexander McQueen alikuwa shoga. Tom Ford ni shoga. Dolce & Gabbana ni mashoga. Valentino ni shoga. Yves Saint Laurent ni shoga. Gianni Versace alikuwa shoga. Cristobal Balenciaga alikuwa shoga. Na kuna uwezekano wapo na wengine wengi tu.

Sasa mnaopenda designer products kama mnazo za hao jamaa (au hata wengine) sijui mtazitupa baada ya kugundua kuwa hao wote ni mashoga au mtajishaua na kujifanya mtazitupa kama wale waliojidai watazitupa iPhones na iPads zao kisa CEO wa Apple ni shoga?

Bottom line, mashoga wapo kwenye kila nyanja, tasnia, na sekta!
beefinjector said:
Mkuu majority ya fashion designers ni mashoga. Ukiacha hao uliowataja wengine ni Giorgio Armani, Pierre Cardin, Christian Dior, John Galliano, Jean Paul Gaultier, Karl Lagerfeld, Christian Louboutin, Isaac Mizrahi, Alexander Wang wengine. Fashion designers wachache ambao sio mashoga ni Roberto Cavalli, Hayati Oscar De La Renta, Tommy Hillfiger, Calvin Klein, Ralph Lauren na Christian Lacroix.

Post a Comment

0 Comments