Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Jinsi ya kusimamisha matiti yaliyolala

nawake wengi nyonyo zao zimelala wengine inatokana na sababu ya kunyonyesha na wengine ni maumbile yao tu ndivyo yalivo.
Kwa wewe dada ambaye nyonyo tits zimelala na unataka zisimame fanya haya yafuatayo

Kila siku usiku chukua alovera then ikate ili kupata ile gel baada ya hapo pakaa hiyo gel kwenye chuchu hakikisha unapakaza chuchu yote,fanya hivi daily hadi utapoona na kuridhika na matokeo.

NB:
Usifanye hivo ukiwa unanyonyesha sababu alovera ni chungu na ukali wake haupotei haraka hivo inaweza pelekea mtoto kukataa kunyonya so kama unanyonyesha subiri umalize kwanza ndo uanze kufanya hii kitu.

Post a Comment

0 Comments