Header Ads Widget

Responsive Advertisement

FREEMASON NA ALAMA ZA SIRI ZA MIKONO PRT III


FREEMASON NA ALAMA ZA SIRI ZA MIKONO Pt. III


TUENDELEE NA SEHEMU YA TATU ....



Katika daraja la pili, maarufu kama FELLOW CRAFT DEGREE
(Second Degree in the Blue Lodge)

DUEGARD OF THE FELLOW CRAFT


Mwanachama wa kimasinia anapo ingizwa au kupandishwa katika daraja hili, hufanya au husimama katika hali ambayo tunaiyona hapo juu katika picha.
“Mkono wangu wa kulia upo kwenye biblia takatifu, bikari na kompasi, mkono wangu wa kushoto unatengeneza engo






Alama inayo fanyizwa kama kiapo, mfuasi anapo ingia daraja la pili la umasonia. Alama hiyo hufanyizwa kwa kuupitisha mkono wa kulia juu ya kifua, upande wa titi la kushoto,mkono huo unapitishwa haraka na kishwa muhusika hurejesha mkono wake kama askari aliyesimama sawa kwenye gwaride.
Maana ya lama hiyo ni nini basi?
“Kifua changu kipasuliwe, upande wa kushoto, moyo wangu uchomolewe, na upewe kwa wanyama na ndege wa porini”



Hii ni kama mwanachama atakwenda kinyume na miiko ya kuingia kwenye daraja hilo.
Katika daraja hilo ipo namna ya kusalimiana na kushikana mikono iliyo tofauti kidogo na ile ya daraja lililo tangulia. Hii inaitwa SHIBBOLETH







Kwa haraka kuitizama alama hii ya kushikana mkono utaona haina tofauti sana na ile ya BOAZ, LAKINI HAPA WANACHAMA HUSHIKANA MKONO KAMA KAWAIDA WANAVYO SHIKANA WATU WENGINE, KISHA KILA MMOJA HUWEKA DOLE GUMBA LAKE BAINA YA NAFASI ILIYOPO KWENYE NAKOZI MBILI, NAKOZI YA KIDOLE CHA SHAHADA NA NAKOZI YA KIDOLE KINACHOFUATA.


Kisha baada ya hapo mwanachama huoneshwa aina hiyo ya mshiko na WM, kama alivyo oneshwa katika hatua ya awali kwenye BOAZ, na jina la mshiko huo hutamkwa kwa namna kama ile iliyo tumika kutamka BOAZ, ispokuwa hapa jina hugawanywa mara tatu, yaani


SD: Shib
WM: bo
SD: leth


Mwanachama ataambiwa kuwa hivyo ndivyo anavyo paswa kulitamka jina la mshiko huo endapo itampasa kulitamka, lazima ligawanywe mara tatu.





SHIBBOLETH IKIFANYIWA KAZI NA VIONGOZI WETU








... ITAENDELEA ...

Post a Comment

0 Comments