Header Ads Widget

Responsive Advertisement

JINSI MWANAMKE ANAVYOTHAMINI PENDO LA MAHUSIANO YAKE ANAFANYA HAYA

Image result for rwanda beauty

1●Mwanamke Anabadili Jina lake
2●
Mwanamke Anahama nyumbani kwao
3●Mwanamke Anaacha familia yake
4●Mwanamke Anaondoka na wewe
5●Mwanamke Anajenga nyumba na wewe
6●Mwanamke Anabeba ujauzito wako
7●Mwanamke Ujauzito wako unabadili umbo lake
8●Mwanamke Anakua mnene
9●Mwanamke Anateseka chumba cha uzazi kwa maumivu makali kwa ajili ya mtoto wako.
10● Na mtoto akizaliwa anasubiri umpe jina unalolipenda.
Mpaka kifo chake atakufanyia kila kitu, kukupikia, Kusafisha nyumba yako, Kuwatunza wazazi wako, Kulea watoto, Kubana matumizi, Kukushauri, Kuhakikisha unapumzika, Kujenga mahusiano mazuri ya familia, Wakati mwingine anaweza hatarisha afya yake, Uhai wake kwa ajili yako.
Anakufumania analia kisha anakusamehe.
Mwanaume Muheshimu Mwanamke Katika Maisha yako, Sababu kuwa Mwanamke si jambo rahisi.
Mfanye Mwanamke kuwa kiumbe mwenye furaha pindi unapokua nae maana Muda wa furaha kwake ni Mdogo sana.
Shea kwa Heshima ya Wanawake wote Duniani Na Mungu Akuabrik

Post a Comment

0 Comments