At last is TRUMP!
How did I get wrong?
But how the whole world get it wrong?
Imekuwa ni suprise kwa kila mtu!
Sikutabiri kuwa Hillary atakuwa rais; nilieleza viashiria vinavyo mpa nafasi hiyo Hillary dhidi ya Trump. Lakini juu ya yote imekuja tofauti.
Kama nilivyo sisitiza kwenye posti za mfalme na posti za malkia, kile wanacho kifanya wanachi kupiga kura ni kukamilisha kile ambacho mabwana wakubwa walicho kifanya, au wanacho kitaka.
Je ndiyo kusema this time wananchi wamewazidi mabwana wakubwa?
NO! Big NO!
Ili wanachi wawazidi mabwana wakubwa, au mashirika na taasisi kubwa ambazo ndiyo haswa watawala wa dunia, ni lazima raisi atoke nje ya mfumo wa vyama vya siasa vinavyo tumiwa kwenye uchaguzi, na kwa Marekani ni Republic na Democrat.
Kilicho tokea kwenye matokeo ya uchaguzi huu ni plani B.
Nilisema ...
Kisha nikasema ...
Kwa sababu vyama na wagombea tayari viko chini ya ushawishi wa ‘mabwana wakubwa’ haijalishi bado ni nani hasa atakuwa ‘mteule’, sababu kile ambacho wapiga kura wanacho kitegemea kutoka kwa wagombea ni kinyume na kile wagombea walicho waahidi ‘mabwana wakubwa’ watakitekeleza wakiwa ndani ya white house.
Ni kiasi gani Obama alihidi atafanya mabadiliko na kuifanya Marekani kubwa bora kuliko alivyo fanya Bush? Je anapoondoka sasa, tathmini inasemaje? Amefanya uozo maradufu ya alivyo fanya Bush.
Ingawa wanatoka vyama viwili tofauti lakini hapakuwa na tofauti kwenye masuala ya vita baina ya vyama hivi.
Vyote vinaunga mkono vita, Obama alianzia pale Bush alipoishia, matumizi ya fedha za serikali, kujali mahitaji ya raia na mengine hali ilizidi kwa ubaya wakati wa Obama, kuliko Bush, ingawa Bush yeye alizidi kushinda Bill Clinton.
Haijalishi nani yuko pale, na hii siyo kwa Marekani peke yake ni kote duniani, mpaka wananchi watakaporudi nyuma na kuacha kuviamini vyama vya siasa na wanasiasa ndipo mabadiliko ya kweli na yenye maana utayaona kwenye maisha ya wananchi.
Utaona hapa shirika, au taasisi moja lakini imeweka pesa zake kwa vyama na wagombea wote wawili. Wakati wewe kura yako wanakuambia umpe mgombea mmoja, wao wanapiga kura ya pesa na wanaipiga kwa wagombea wote wawili na vyama vyao.
Company
Total
$ from PACs
$ from Indivs
Democrat %
Republican %
Honeywell International
$4,213,710
$4,161,100
$52,610
52%
48%
Berkshire Hathaway
$2,284,531
$1,819,641
$464,890
48%
51%
Raytheon Co
$2,283,837
$2,132,000
$151,837
54%
46%
Northrop Grumman
$1,878,105
$1,563,150
$314,455
53%
45%
Verizon Communications
$1,863,104
$1,551,200
$309,404
52%
47%
Wal-Mart Stores
$1,764,827
$1,570,050
$194,777
46%
54%
Union Pacific Corp
$1,683,550
$1,580,800
$102,750
52%
47%
Ernst & Young
$1,427,641
$992,000
$435,641
50%
50%
JPMorgan Chase
$1,418,846
$550,037
$868,809
47%
53%
Abbott Laboratories
$1,392,751
$1,313,224
$79,527
46%
54%
FMR Corp
$1,381,290
$783,000
$598,290
50%
50%
Credit Suisse Group
$1,288,074
$796,000
$492,074
48%
52%
WPP Group
$1,228,660
$144,250
$1,084,410
47%
51%
BAE Systems
$1,142,822
$1,039,400
$103,422
53%
47%
Merck & Co
$1,117,013
$962,000
$155,013
51%
48%
Citigroup Inc
$1,114,008
$468,000
$646,008
47%
53%
Blackstone Group
$1,040,498
$175,460
$855,038
53%
45%
AstraZeneca PLC
$998,225
$921,400
$76,825
51%
48%
SAIC Inc
$989,045
$806,000
$183,045
54%
46%
Northwestern Mutual
$902,308
$628,150
$274,158
50%
49%
Ukiacha Makampuni hapo juu vyama vya wafanyakazi na ushirika navyo vinapeleka kura zao, kabla wewe hujaenda kuidhinisha matakwa yao.
Donor
Total
$ from PACs
$ from Indivs
$ to Dems
$ to GOP
% Dem
% GOP
Credit Union National Assn
$2,275,093
$2,243,296
$31,797
$1,230,597
$1,034,496
54%
45%
American Dental Assn
$1,987,600
$1,970,600
$7,000
$1,007,650
$973,950
51%
49%
National Auto Dealers Assn
$1,938,650
$1,938,400
$250
$946,750
$981,900
49%
51%
American College of Radiology
$1,533,000
$1,533,000
$0
$760,000
$766,500
50%
50%
National Rural Electric Cooperative Assn
$1,532,100
$1,530,600
$1,500
$799,700
$723,400
52%
47%
Aircraft Owners & Pilots Assn
$1,253,777
$1,251,500
$2,277
$654,500
$594,277
52%
47%
Investment Co Institute
$1,192,675
$1,153,250
$39,425
$634,650
$556,025
53%
47%
American Academy of Ophthalmology
$1,165,670
$1,160,670
$5,000
$636,500
$529,170
55%
45%
Natl Assn/Insurance & Financial Advisors
$1,112,449
$1,112,449
$0
$541,950
$569,499
49%
51%
Wine & Spirits Wholesalers of America
$1,063,444
$1,063,444
$0
$533,784
$523,660
50%
49%
American Resort Development Assn
$950,575
$950,575
$0
$462,075
$488,500
49%
51%
American Medical Assn
$769,509
$748,459
$21,050
$401,800
$366,709
52%
48%
Council of Insurance Agents & Brokers
$740,554
$739,554
$1,000
$377,371
$363,183
51%
49%
American Council of Engineering Cos
$682,400
$675,900
$6,500
$349,000
$320,600
51%
47%
Property Casualty Insurers Assn/America
$627,850
$627,850
$0
$310,000
$317,850
49%
51%
International Council of Shopping Cntrs
$624,412
$624,412
$0
$281,199
$334,213
45%
54%
Sasa unaitaje huu ni uchaguzi wakati unayekwenda kumchagua alishapigiwa kura ya pesa? Kuna wengine wanao changia ambao wao majina au mashirika yao hayatajwi, na michango yao ni mafungu ya maana.
Karne na karne, miaka na miaka, mbinu ile ile inaendelea kutumika. Tunaaminisha kuwa chama fulani ni bora kuliko fulani na mgombea fulani anaweza kufanya mabadiliko n.k. Wakati wafuasi wa vyama wanaposhindwa kula kwa simanzi ya kushindwa mgombea au chama chao, na wanapo uwana wakati mwingine, wagombea wa vyama tofauti wapo ‘at peace’, shake hand smile, doing business together, working together, wakati wewe na jirani yako hamsemeshani.
Kama tulivyoona kwenye posti zilizo tangulia, wengi wa wagombea hawa kwa uapnde wa Marekani na nchi za Ulaya ni ndugu kwa namna moja ama nyingine, hivyo kwa wao ni family business.
Bill na Hillary walikuwa wageni kwenye mstari wa mbele wakati wa ndoa ya Trump 2005. Trump amesha mchangia Hillary Clinton kwenye kampeni alipokuwa akiwania useneta, amesha dondosha senti zake kwenye Clinton Foundation.
Hivyo haijalishi watatukanana mara ngapi, watatishiana mara ngapi, Trump alisema Hillary inafaa aende jela, kitu ambacho ni kweli, lakini unadhani atafanya hivyo, thubutu. Its a familly business, and your just a loser competitor.
Trump kama alivyoingia Obama, President na ku-Exit as a King, nalitegemea sana hilo kwa Trump, kwa sababu Trump kama Obama au kama ambavyo ingekuwa ni Hillary ni mwanasesere, na juu yake ipo mikono mizito inayo muongoza, na mikono hiyo siyo kura za wananchi.
Unadhani atakuwa raisi wa kwanza tu Exit as Hero?
Historia imejaa visa vya wale ambao walitaka kujifanya ni Hero, na kuwasikiliza wapiga kura. Kifupi walichowekeza mabwana wakubwa, na wanacho kitaka ni kikubwa kushinda Trump. Ni kikubwa kushinda yeyote yule atakaye kalia kiti hicho, and time will tell.
Sababu baada ya kelele za vyombo vya habari na kampeni, kinachofuata ni kutekeleza ahadi. Trump ni mfanyabiashara mahiri. Tizama documentary inayo kwenda kwa jina la ‘The Make of Trump’, anajua ni njia gani apite akamilishe anachotaka, anajua nini aseme na nini afanye na kwanini afikie malengo yake. Lakini kama kawaida ‘connection’ kubwa na za maana kutoka kwenye watu wazito zinakuwa nyuma yake, ndiyo maana ameweza kufika hapo alipo.
Trump huru, bila hizo ‘super connection’ ni mtu sahihi wa kuweza kufanya mabadiliko makubwa sana kwenye siasa za mambo ya nje za Marekani. Lakini siasa hizo ni kubwa kushinda Trump, kushinda yeyote yule.
Hatuwezi kumshikilia dhidi ya maneno yake kama kitanzi kuona atafanya ama la, lakini kwa Personality ya Trump tunatumai atafanya kadiri atakavyo weza, lakini sote tunajua HE WONT DARE TO CROSS THE LINE?
WWIII
Itakuwepo?
Kama Trump atasimamia yale aliyo yasema, si kwamba tu movie hiyo itachelewa kuzinduliwa, lakini huenda hata Syria kukapoa, lakini hii itamaanisha Slow Death to America.
Tunajua kile kinacho endelea Syria, na kile ambacho kitapelekea WWIII ni harakati za mfa maji haachi kutapatapa. Marekani inapigana dhidi ya China, Urrusi na mataifa ya Asia kujihakikishia inaendelea kushikilia sehemu kubwa ya nishati ya dunia, na kuibana China pumzi isipumue na kuimaliza taratibu kupitia majirani zake kama ilivyo kuwa ikitaka kufanya hivyo kwa Urrusi.
Mabwana wakubwa watamuachia Trump airuhusu China iendelee kutanua ushawishi wake. Wataendelea kumuachi Mturuki aendelee kujikomba kwa Urussi na kuipa NATO mgongo? Watamuachia Mrussi aendelea kufanya biashara na Irani iliyo pewa ‘green light’ za kuendelea na mradi wake wa nyuklia. Vyote hivyo kuendelea kwake vinamaanisha KIFO kwa Marekani, na kuzaliwa kwa Super Power nyingine. Kitu ambacho Hillary alisema hatakiruhusu, wakati Trump sera zake zilionekana zingekiruhusu hicho, hasa alipokuwa akisisitiza kuanzisha mahusiano mapya na Putini, ambaye kesha mpigia simu ya kumpongeza.
Ni wapi dunia nakwenda?
Ni nini hatma ya Marekani itakuwa?
Je Muungano wa China na Urrusi ndiyo ujio wa new Super power?
Still we have a miles to go, and all we wish is the best, though its not wrong to prepare for the worst.
Tuendelea kubanana hapahapa mpaka kieleweke .... catch you next time .... Tchao ...
0 Comments