Header Ads Widget

Responsive Advertisement

KIDUKU CHA MGUU MMOJA


SIMULIZI FUPI - KIDUKU CHA MGUU MMOJA


“mambo vipi kaka Hassan,mzima wewe, samahani kaka sijui unakumbuka ulichoniahidi??

?.....najua haukumbuki lakini mimi nitakukumbusha ni kuhusu kunifundisha kucheza mziki” aliongea maneno hayo mwanadada Sonia kupitia simu ya mkononi akimwambia Jerry,ambaye ndio kwanza alikuwa ametoka usingizini. Jerry kwa hali ya kawaida alikuwa amesahau kabisa kuwa aliwahi kumuahidi mwanadada Sonia kuwa atamfundisha kucheza mziki katika staili tofauti tofauti. Sasa alikuwa anakumbushwa!!

“aaah!!! Ok! Nimekumbuka sasa tufanye lini na wapi??” aliuliza Jerry.

“mama amesafiri kaenda Loliondo kumpeleka mdogo wangu yaani nimebaki peke yangu hapa nyumbani kwa hiyo sitaweza kutoka hapa labda uje wewe jamani” alijibu kwa sauti nyembamba ya kike mwanadada huyu. Jibu hilo lilimtia Jerry nguvu sana na kumfungua akili yake.


“basi nitakuja ulisema unataka staili gani vile nimesahau maana na wewe unapenda staili nyingi sana”

“Mdogo wangu ananicheka eti sijui kucheza kiduku na mimi nataka nijue halafu na kucheza mapanga….” Alijibu Sonia.

“ah!! Mapanga ya kizamani hayo nitakufundisha kiduku sawa dada….”

“yaani nitafurahi kweli kakitoka huko Loliondo nitakalingishia kweli” alijibu tena kwa furaha binti huyu kutoka familia bora sana aliyekuwa anaishi maeneo ya Mikocheni Dar es salaam.

“kwa hiyo lini nije” aliuliza Jerry

“siku yoyote saa yoyote unayotaka chamsingi mimi nijue kucheza kiduku….”

Baada ya maongezi marefu na kufikia muafaka wa lini waonane Jerry alikata simu na baada ya muda akaongezewa muda wa maongezi wenye thamani ya shilingi elfu moja kutoka kwa Sonia. Pale pale Jerry akajiunga huduma maarufu ya vijana wasiokuwa na pesa za kupiga simu ya ‘extreme sms’ na kuanza kuchat na Sonia.

Jerry: hivi Sonia utaweza kucheza kiduku kweli

Sonia: naweza kwani wanaoweza wana nini??

Jerry: unajua staili ngapi za viduku??

Sonia: mi huwa nasikia kiduku kujiremba,kiduku mcharuko

Jerry: mh!! Hayo ya zamani kweli mimi nitakufundisha mpya kabisa hata watu hawaijui

Sonia: kinaitwaje hicho jamani yaani natamani hata ungekuja leo

Jerry: kinaitwa ‘kiduku cha mguu mmoja’ mdogo wako anakiweza hicho!!!

Sonia:mh! Sijawahi kumsikia akisema hakiwezi hicho labda

Jerry: sasa nitakuja leo jioni kukufundisha sawa

Sonia: usiache Jerry

Akili ya Jerry ilijizungusha haraka haraka na kuamini huu ulikuwa muda muafaka wa kuanzisha uhusiano wa kimapenzi na Sonia kwa kutumia fursa hii ya kumfundisha kucheza kiduku. Ni siku nyingi sana alikuwa anajaribu kumjengea mazingira ya kimapenzi lakini hata hisia za Sonia hazikuonekana wazi.

Majira ya saa kumi na mbili jioni Jerry mtoto wa kigogo uswahilini alikuwa akipata juisi baridi ya embe katika sebule pana iliyopulizwa na kiyoyozi wakati wote, Sonia alikuwa amevalia pensi iliyokuwa imembana na ilionekana dhahiri hakuwa na hakuwa na kitu chochote ndani. Mapaja yaliyojazia katioka namna ya kipekee yaliitunisha ile pensi kwa kiwango kisichokera kutazama!!!

Mate yalimjaa mdomoni Jerry na kwa jicho la wizi wizi aliweza kuchungulia cheni iliyong’ara kutokea kiunoni mwa Sonia. Mama wee!! Akajisemea huku akihisi baadhi ya viungo vyake vikiongezeka ukubwa katika namna nyingine ya kushangaza.

“Sonia usiku unaingia, nenda ukavae nguo za kuchezea Kiduku cha mguu mmoja” Jerry alimwambia.

“ndio zikoje hizo mwalimu wangu unadhani mimi nazijua basi…..” alijibu Sonia huku akimkata jicho Jerry.

“kavae kanga na kitop nadhani hapo itakuwa sawa..maana hivi Viduku navyo vina sheria zake” alijibu huku akiona haya kidogo. Alikuwa anadanganya!!!

“haya mwalimu wangu…..” alijibu huku akiondoka

“pia usisahau kuweka hii hapa Cd wimbo namba tatu…” alisisitiza Jerry.

Baada ya dakika kumi Sonia alirejea, kama Jerry alivyoagiza Sonia alikuwa amevaa kanga moja pekee na kitop kilichoachia kitovu chake nje kidogo. Kwa mwendo wa kunyata aliisogelea redio na kuweka ile Cd kisha akachagua wimbo namba tatu,ulikuwa wimbo wa taarabu uitwao ‘mama nipe radhi’

Jerry akamsogelea Sonia pale alipokuwa na kuizungusha mikono yake katika kifua cha Sonia.

“Sasa inatubidi tuanzie kiduku cha kawaida halafu cha mchruko kisha tutamalizia kiduku cha mguu mmoja. Sonia hakuwa na pingamizi lolote alikubali kila kitu,mikono ya Jerry ilivyogusa kifua cha vuguvugu cha Sonia alihisi kuishiwa pumzi zake, alijaribu kufundisha lakini somo lilikuwa haliendi,kwa ujasiri mkubwa alipandisha mikono yake katika chuchu ndogo za Sonia na ni wakati huo huo ulikuwa umemalizika wimbo wa Mama nipe radhi na kuingia wimbo wa marehemu Nasma Khamis Kidogo uitwao ‘SUBAR-KHERI’ (Kwa mpenda mziki wa mwambao lazima unaujua). Katika taarabu za asili ni wimbo huo uliomkosha sana Jerry na alikuwa amekariri mashairi yaliyokuwa yakiimbwa na mwanaume hivyo alishindwa kujizuia kuigiza sauti ile na bila kutegemea alishangaa mashairi ya Nasma Kidogo yakijibiwa kiustadi kabisa na Sonia ambaye wakati huo pumzi zake zilipishana kwa kasi tofauti na mwanzo

Jerry: subalkheri mpenzi waonaje hali yako

Sonia: albanur azizi hali yangu kama yako

Jerry: wawaonaje wazazi nyumbani utokeapo

Sonia: kawanusuru mwenyezi hali hofu yao juu yako,hebu nitoe majonzi unijuze shida yako.

Jerry:Shida yangu sijiwezi,dawa yangu sura yako.

Mwingine we achomozi nakupenda peke yako

Sonia:Daima nitakuenzi silitupi pendo lako

Sonia:usiingie simanzi sura yangu mali yako

Jerry:nakuikosa siwezi sikia langu tamko

Sonia:mwingine we hachomozi nakupenda peke yako

Jerry:nimefanya uchunguzi nakiri maneno yako,naiona waziwazi ishara ya pendo lako.

Sonia:milele nitakuenzi natoa ahadi kwako………

Jerry:kibaya sikivumbui ndani ya maungo yako

Sonia:na mimi simtambui mwenye sifa kama zako……………..wallah sijitambui mgonjwa kwa raha zako

Waliendelea kujibishana maneno yale kwa sauti za chini wakati huo kanga ikiwa tayari imeanguka chini na Jerry akihesabu idadi ya cheni alizokuwa amevaa mwanadada Sonia kiunoni, mwanga wa taa nyekundu pale ndani uliwapa hamasa zaidi hadi wakajikuta wote wapo uchi wa mnyama pale pale sakafuni wakati huo ukilindima wimbo wa mwanamziki Mataluma uitwao ‘Kariakoo’ tayari Jerry alikuwa juu ya kifua cha Sonia na kilichokuwa kinaendelea pale ni KIDUKU CHA MGUU MMOJA, wakati miguu miwili ikiwa imetulia tuli mguu mmoja uliosalia ulikuwa bize ukicheza kiduku. Maajabu kumbe!! Kumbe…kumbe Jerry ana miguu mitatu!!! Binadamu wa kushangaza!!! Sonia naye hakuwa tena akisikiliza maagizo ya mwalimu..bali alikuwa anaimba nyimbo zisizoeleweka..mara awe kama analia mara kama anashtuka..ilimradi tu purukushani mara amfinye mwalimu..mara amvute amkumbatie kwa nguvu. Jerry akiwa kama mwalimu ukorofi huu wa mwanafunzi wake ulimfanya afurahie darasa zaidi. Darasa la ajabu kupita mardarasa yote duniani!!!

“Kumbe unakiweza kiduku dah!!!” Jerry alimsifu Sonia aliyekuwa anaona haya baada ya mchezo huo kumalizika. Mchezo wa kiduku!! Kiduku cha mguu mmoja!! Wakati huo Sonia alikuwa akijishangaa maana hata ile cheni haikuwepo kiunoni na hajui kanga ilifika vipi katika kochi!! Bahatio mbaya hata kitopu hakikuwepo mwilini!! Kilikuwa chini!! Sio maajabu haya!!!

“Kumbe hicho ndo kiduku cha mguu mmoja..jamanii..una tabia mbaya wewe…????” alihoji Sonia huku akiichukua kanga yake na kujifunga, Jerry hakumjibu bali alicheka tu!!!!! Amjibu nini sasa wakati mchezo umeisha.

Swali Je? Sonia atamringishia mdogo wake kiduku cha mguu mmoja???


MWISHO

Post a Comment

0 Comments