Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Hizi hapa tofauti kati ya Msichana na Mwanamke



MKASA: Mke wangu anataka tufanye mara tatu.

Wakati watu wanalalamika wanakosa haki yao ya ndoa lakini kuna wengine wanakinai kabisa. Loh! Mapenzi yanaendesha dunia jomoni.
Kutoka kwa Msomaji wa Makala zetu:
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama 3 zilizopita amekuwa akinilazimisha nile mzigo kila siku hapa nilipo kichwa kinaniuma kutokana na kazi ya kila siku ya kuhakikisha anafurahi na jana nimeona nivunje ukimya baada ya kuniamsha usiku wa manane nile mzigo, nikamueleza mke wangu utaniua naomba tupumzike hata siku tano mbele target yangu ni kuwa baada ya siku tano anatarajia kuingia kwenye siku zake hivyo nitapata mapumziko ya kutosha.
Cha ajabu mke wangu kaanza kulia na kulalamika kuwa haamini kauli yangu ya kukataa kula mzigo, ilinibidi nimbeleze kisha nikampoza na kamoja hapa nilipo nipo njiani natoka job ameshanitumia sms ananiambia eti niwahi Anahamu ya dushe langu nimekaa kimya sikumjibu kanipigia simu anasisitiza alichokiandika kwenye sms yake tena kwa sauti ya majonzi.
Nampenda mke wangu ila ananichanganya kwa vile tabia hii hakuwa nayo mi ndio nilikuwa initiator wa mchezo wetu.
Hebu wadau wa App ya Mwalimu wa Mapenzi naombeni mnisaidie itakuwa kapatwa na nini hadi amekuwa hivi? Tabia hii kaanza tangu niliporudi kutoka safarini ambapo nilikaa kule kwa miezi 3 bila kushiriki nae.
Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome

Hizi hapa tofauti kati ya Msichana na Mwanamke

1. Wasichana wanatafuta wanaume wenye pesa ila Wanawake wanatafuta wanaume wanaojali na kupenda.
2. Wasichana hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia ukubwa wa mifuko yao ila Wanawake hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia kiwango cha busara na hofu ya mungu na kwa vipi wanajiheshimu mbele ya wapenzi wao.
3. Wasichana huvunja mahusiano kwa sabubu zisizo na mashiko ila Wanawake wana uvumilivu wakifahamu kwamba kila jambo hutokea kwa sababu.
4. Wasichana hufikilia kuhusu mambo yaliyopo sasa ila Wanawake hufikilia kuhusu yajayo.
5. Wasichana wanapenda kuwa na wanaume wengi wanaowafuata ila Wanawake wanafahamu sheria ya uhitaji (Vitu rahisi vina wateja wengi).
6. Wasichana wanahitaji pesa ili kununua make-ups ila Wanawake wanahitaji pesa kwa ajili ya kufanyia mipango ya maendeleo.
7. Wasichana huumizwa na mwanaume mmoja na kuwa na kinyongo na wanaume wote ila Wanawake wanajua kwamba wanaume wote sio sawa.
8. Msichana “anajifunza” ila Mwanamke “anajua” na ndio maana wasichana wengi wanafeli sana katika mahusiano.

Post a Comment

0 Comments